Gundua nguvu ya App ya Fuga na usimamie kwa urahisi idadi ya mifugo yako, gharama, na tarehe za chanjo. Rahisisha shughuli zako za ufugaji kuku na ongeza uzalishaji leo!
Pata ratiba inayobadilika kulingana na idadi halisi ya kuku.
Fuatilia na changanua gharama za mradi wako.
Fuatilia idadi ya kuku na hali yao ya afya na utendaji.
Fahamu tarehe za chanjo za kuku wako.
Jiunge na orodha yetu ya mwendelezo leo na upate taarifa mara tuu programu itakapokuwa tayari kwa kupakua. Ingiza tu maelezo yako hapa chini!
Pakua app ya Fuga kwenye website yetu.
Jiandikishe na weka maelezo yako ya akaunti kama vile Mkoa Nk.
Ingiza maelezo ya mifugo na anza kufurahia huduma za app.
Mayai Zaidi
Ukuaji Zaidi
Bei Nafuu
Msaada uliobinafsishwa
Primax inatengeneza bidhaa za chakula cha kuku za ubora wa juu, zilizoundwa kwa ufanisi ili kuboresha ukuaji, afya, na uzalishaji wa kuku wako, ikiwasaidia kufikia uwezo wao wa juu zaidi.
Huduma za Ugani Zilizobinafsishwa
Ziara za Bure za Mtaalamu wa Mifugo Mara Mbili Kwa Mwezi kwa Shamba Lako Unapotumia Chakula Chetu Kupata Msaada Uliobinafsishwa
Panga Vizuri, Gharamia Kidogo na Fanya Maamuzi Sahihi Zaidi Kwa Muundo Wetu Wenye Mandhari Maridadi Uliotengenezwa Kwa Ajili Yako
Bei Nafuu na Chakula cha Ubora wa Juu kutoka kwetu kinakusaidia Kulisha Chakula Zaidi huku Ukiokoa pesa Zaidi ili kudumisha biashara endelevu ya ufugaji wa kuku